HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

October 12, 2019

SIMBA YAIFUNGA BANDARI FC 1-1

Wachezaji wa Simba wakimpongeza winga wa timu hiyo, Rashid Juma ambaye alitoa pasi iliyozaa bao pekee la timu hiyo lililofungwa na mshambuliaji Ibrahim Ajibu (hayupo pichani), katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya Bandari FC ya Kenya uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. (Picha na Simba SC).

No comments:

Post a Comment

Pages