Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na
Mazingira Mhe. Mussa Azzan Zungu wakati Mhe. Zungu alipofika Ofisini kwa Makamu
wa Rais Ikulu Jijini Dar es salaam leo Januari 28,2020 kwa ajili ya kujitambulisha
na kupokea maelekezo mbalimbali yanayohusiana na utekelezaji wa Majukumu yake. (Picha
na Ofisi ya Makamu wa Rais).
January 28, 2020
Home
Unlabelled
MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAZIRI ZUNGU
MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAZIRI ZUNGU
Share This
About HABARI MSETO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Author Details
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.
No comments:
Post a Comment