Luseke ametwaa tuzo ya mchezaji bora mwezi November huku Richard akitwaa ya mwezi December.
Tuzo ya mchezaji bora wa Alliance hutolewa na mdhamini wa timu hiyo Emirate Aluminium Profile na kukabidhiwa tuzo pamoja na kitita cha laki tatu taslim kwa kila mchezaji tuzo hizo zimekabidhiwa na Afisa uhusiano wa Emirate Aluminium Profile Issa Maeda katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Allaince FC dhidi ya Simba SC na Simba kuibuka na ushindi wa mabao 4-1 .

No comments:
Post a Comment