Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizindua mradi wa Maji wa Bokwa
wilayani Kilindi, Machi 4, 2020. Kulia ni Naibu Waziri wa Maji, Jumaa
Aweso na kushoto ni Mbunge wa Kilindi, Omar Kigua.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akijaza maji katika ndoo wakati alipozindua mradi wa Maji wa Bokwa
wilayani Kilindi, Machi 4, 2020. Wa pili kulia ni Naibu Waziri wa Maji,
Jumaa Aweso, wa tatu kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martine Shigela na
kulia ni mmoja wa wanufaika wa mradi huo, Mariam Mgaza Hassan.
Waziri Mkuu,
Kassim Majaliwa akimsaidia kubeba ndoo ya maji, Mariam Mgaza Hassan
wakati alipozindua mradi wa maji wa Bokwa wilayani Kilindi, Machi 4,
2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
No comments:
Post a Comment