Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akimuapisha Balozi Phaustine Kasike kuwa Balozi wa Tanzania nchini
Msumbiji katika hafla fupi iliyofanyika katika Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma
leo tarehe 21 Mei 2020.
Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akimuapisha Brigedia Generali John Mbungo kuwa Mkurugenzi Mkuu wa
TAKUKURU katika hafla fupi iliyofanyika katika Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma
leo tarehe 21 Mei 2020.
Viongozi walioapishwa na Rais Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli wakila Kiapo cha Uadilifu kwa Viongozi wa Umma katika
Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma. Kuanzia kulia ni Naibu Waziri wa Afya Dkt.
Godwin Mollel, Dkt. Delphine Magere-RAS Pwani, Jacob Kingu-Balozi wa Tanzania
nchini Algeria, Balozi Phaustine Kasike Balozi wa Tanzania nchini Msumbiji,
Balozi John Simbachawene Balozi wa Tanzania nchini Kenya pamoja na Brigedia
General John Mbungo Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU

Viongozi walioapishwa na Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli wakila Kiapo cha Uadilifu kwa Viongozi wa Umma katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma. Kuanzia kulia ni Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel, Dkt. Delphine Magere-RAS Pwani, Jacob Kingu-Balozi wa Tanzania nchini Algeria, Balozi Phaustine Kasike Balozi wa Tanzania nchini Msumbiji, Balozi John Simbachawene Balozi wa Tanzania nchini Kenya pamoja na Brigedia General John Mbungo Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU.
Viongozi walioapishwa na Rais Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli wakila Kiapo cha Uadilifu kwa Viongozi wa Umma katika
Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma. Kuanzia kulia ni Naibu Waziri wa Afya Dkt.
Godwin Mollel, Dkt. Delphine Magere-RAS Pwani, Jacob Kingu-Balozi wa Tanzania
nchini Algeria, Balozi Phaustine Kasike Balozi wa Tanzania nchini Msumbiji,
Balozi John Simbachawene Balozi wa Tanzania nchini Kenya pamoja na Brigedia
General John Mbungo Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU
Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akishuhudia Viongozi mbalimbali aliowaapisha Wakila Kiapo cha Uadilifu
kwa Viongozi wa Umma katika hafla fupi iliyofanyika katika Ikulu ya Chamwino Mkoani
Dodoma leo tarehe 21 Mei 2020. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment