Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza wakati alipofungua Mkutano wa Viongozi wa Dini Kuelekea
Uchaguzi Mkuu na Kuunga Mkono Juhudi za Rais Dkt. John Pombe Magufuli na
Serikali yake katika Ustawi wa Amani, Uzalendo na Kumtanguliza Mungu
uliofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere
jijini Dar es salaam, Agosti 17, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospal Bibble
Fellowship, Zakary Kakobe akizungumza katika Mkutano wa Viongozi wa
Dini Kuelekea Uchaguzi Mkuu na Kuunga Mkono Juhudi za Rais Dkt. John
Pombe Magufuli na Serikali yake katika Ustawi wa Amani, Uzalendo na
Kumtanguliza Mungu uliofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa
cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Agosti 17, 2020. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Abubakar
Zubeir Ally akizungumza katika Mkutano wa Viongozi wa Dini Kuelekea
Uchaguzi Mkuu na Kuunga Mkono Juhudi za Rais Dkt. John Pombe Magufuli na
Serikali yake katika Ustawi wa Amani, Uzalendo na Kumtanguliza Mungu
uliofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere
jijini Dar es salaam, Agosti 17, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam,
Abubakar Kunenge wakati alipowasili kwenye Kituo cha Mikutano cha
Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam kufungua Mkutano wa
Viongozi wa Dini Kuelekea Uchaguzi Mkuu na Kuunga Mkono Juhudi za Rais
Dkt. John Pombe Magufuli na Serikali yake katika Ustawi wa Amani,
Uzalendo na Kumtanguliza Mungu uliofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha
Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Agosti 17, 2020. Wa
pili kushoto ni Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Alhad Mussa
Salum. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment