Wananchi wa Igawa mkoani Mbeya wakishangilia mara baada ya Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuwasili wakati akitokea mkoani Njombe leo tarehe 29 Septemba 2020.
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa kijiji cha Halali Wanging’ombe mkoani Njombe wakati akielekea mjini Mbeya leo tarehe 29 Septemba 2020.
No comments:
Post a Comment