Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Mtera mkoani Dodoma wakati akielekea Isimani Mkoani Iringa kwa ajili ya mikutano ya Kampeni za CCM leo tarehe 28 Septemba 2020.
Wananchi wa Migori wakimshangilia Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kuwasili wakati akitokea DodomaHelkopta inayotumiwa na Chama cha Mapinduzi CCM ikipasua anga katika maeneo ya Isimani mkoani Iringa katika Kampeni za CCM leo tarehe 28 Septemba 2020.
No comments:
Post a Comment