HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

September 30, 2020

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli ahutubia wananchi wa Mafinga


 
Sehemu ya Wananchi wa Mafinga wakimsikiliza Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli wakati aliposimama Mafinga leo tarehe 29 Septemba 2020.

Sehemu ya Wananchi wa Mafinga wakimsikiliza Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli wakati aliposimama Mafinga leo tarehe 29 Septemba 2020.

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimvalisha Kofia Bibi aliyefahamika kwa jina moja Bibi Zainabu mara baada ya kuwahutubia wananchi wa Mafingamkoani Iringa.

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono Wananchi wa Mafinga mara baada ya kumaliza kuwahutubia leo tarehe 29 Septemba 2020.

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi Mafinga mkoani Iringa wakati akielekea Makambako mkoani Njombe katika muendelezo wa Kampeni za CCM leo tarehe 29 Septemba 2020.

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili Mafinga kwa ajili yakuwahutubia wakazi wa eneo hilo wakati akitokea mkoani Iringa.

No comments:

Post a Comment

Pages