HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

October 04, 2020

KAMPENI ZA CCM TABORA

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiinadi Ilani ya Utekelezaji Uchaguzi CCM 2020/25 kwa Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Nzega  Mkoani Tabora. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).

No comments:

Post a Comment

Pages