HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

October 01, 2020

MGOMBEA MWENZA KUPITIA CHADEMA AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI MKOA WA PWANI

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Mhe. Salum Mwalimu, akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika katika Uwanja wa Shule ya Msingi Nia Njema uliopo wilayani Bagamoyo.

Wakazi wa Bagamoyo wakimsikiliza mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Mhe. Salum Mwalimu, wakati akihutubia mkutano wa kampeni katika Uwanja wa Shule ya Msingi Nia Njema uliopo wilayani Bagamoyo.
Wananchi wakisikiliza sera za mgombe Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA Mhe. Salum Mwalimu, wakati akihutubia mkutano wa kampeni jimbo la Bagamoyo.

Wagombea udiwani kutoka kata tofauti jimbo la Bagamoyo.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Mhe. Salum Mwalimu, akimnadi mgombea ubunge jimbo la Bagamoyo, Emmanuel Matayo Lukumai.
Mgombea ubunge jimbo la Bagamoyo, Emmanuel Matayo Lukumai, akizungumza na wakazi wa Bagamoyo katika mkutano wa kampeni.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Mhe. Salum Mwalimu, akiwapungia mkono wananchi waliojitokeza katika mkutano wa kamapeni jimbo la Kibaha Mjini.
Wakazi wa Kibaha Mjini wakimpungia mkono mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Mhe. Salum Mwalimu.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Mhe. Salum Mwalimu, akizungumza na mgombea ubunge jimbo la Kibaha Mjini, Dk. Mtally Michael.
Kaimu Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani, Baraka Mwango, akizungumza katika mkutano wa kampeni jimbo la Kibaha Mjini.
Mkutano ukiendelea.
Katibu wa mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Gerva Lyenda, akizungumza kabla ya kumgaribisha mgombea mweza.
Wananchi wakiwa katika mkutano.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Mhe. Salum Mwalimu, akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo la Kibaha Mjini.
Tunasikiliza sera......
Wagombea udiwani wa CHADEMA kutoka jimbo la Kibaha Mjini.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Mhe. Salum Mwalimu, akimnadi mgombea ubunge jimbo la Kibaha Mjini, Dk. Mtally Michael.

No comments:

Post a Comment

Pages