HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

October 03, 2020

YANGA MWENDO MDUNDO YAIPIGA COASTAL UNION 3-0

Mshambuliaji wa Yanga, Tuisila Kisinda, akijaribu kumtoka beki wa Coastal Union, Hance Msonga, katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam leo Oktoba 3, 2020. (Picha na John Dande).

Kikosi cha Yanga.
Kikosi cha Coastal Union ya Tanga.

Wachezaji wa Yanga wakishangilia bao la kwanza lililofungwa na winga wa timu hiyo Carlo Sterio dhidi ya Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam leo.

Kiungo wa Yanga Feisal Salum, akiwatoka wachezaji wa Coastal union,katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam leo.

No comments:

Post a Comment

Pages