
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa kuwa Katibu MkuuKiongozi katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 27 Februari 2021.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akishuhudia Kamishna wa Maadili Jaji wa Mahakama ya Rufani,Sivangilwa
Sikalaliwa Mwangesi kushoto alipokuwa akiongoza Kiapo cha Maadili kwa
Viongozi wa Umma kwa Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Bashiru Ally
Kakurwa mara baada ya kuapishwa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Katibu
Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa akizungumza mara baada
ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
John Pombe Magufuli leo tarehe 27 Februari 2021 Ikulu jijini Dar es
Salaam. PICHA NAIKULU.
No comments:
Post a Comment