HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

February 12, 2021

WAZIRI BASHUNGWA AIKABIDHI BENDERA TIMU YA TAIFA U20 (NGORONGORO HEROES) INAYOKWENDA KUSHIRIKI MASHINDANO YA AFCON – U20

 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Innocent Bashungwa akizungumza na wachezaji, benchi la ufundi pamoja na uongozi wa Timu ya Taifa U20 ‘‘Ngorongoro Heroes’’ katika hafla maalum ya kuiaga timu hiyo inayokwenda kushiriki mashindano ya Afrika (AFCON – U20) nchini Mauritania, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa hoteli ya Serena - Dar es salaam Leo Februari 11, 2021.

Wachezaji wa Timu ya Taifa U20 ‘‘Ngorongoro Heroes’’ wakiwa katika hafla maalum ya kuiaga timu hiyo inayokwenda kushiriki mashindano ya Afrika (AFCON – U20) nchini Mauritania, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa hoteli ya Serena - Dar es Salaam leo Februari 11, 2021.


Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Innocent Bashungwa akikabidhi bendera kwa Timu ya Taifa U20 ‘‘Ngorongoro Heroes’’ katika hafla maalum ya kuiaga timu hiyo inayokwenda kushiriki mashindano ya Afrika (AFCON – U20) nchini Mauritania, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa hoteli ya Serena - Dar es salaam leo Februari 11,2021.(Picha na Eliud Rwechungura).

 

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Innocent Bashungwa akiwa katika picha ya pamoja na vijana wa Timu ya Taifa U20 ‘‘Ngorongoro Heroes’’ katika hafla maalum ya kuiaga timu hiyo inayokwenda kushiriki mashindano ya Afrika (AFCON – U20) nchini Mauritania, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa hoteli ya Serena - Dar es Salaam leo Februari 11,2021.

  Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Innocent Bashungwa akiwa katika picha ya pamoja na benchi la ufundi na uongozi wa Timu ya Taifa U20 ‘‘Ngorongoro Heroes’’ katika hafla maalum ya kuiaga timu hiyo inayokwenda kushiriki mashindano ya Afrika (AFCON – U20) nchini Mauritania, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa hoteli ya Serena - Dar es salaam Leo Februari 11, 2021.

No comments:

Post a Comment

Pages