Wabunge
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakiaga mwili wa aliyekuwa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt John Pombe Magufuli katika viwanja
vya Bunge Leo Jijini Dodoma. Picha
zote na Daudi Manongi MAELEZO
Mwandishi
wa Habari wa Chombo cha EATV Bi OLiva Nyeliga akipiga saluti wakati akiaga
mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt John
Pombe Magufuli katika viwanja vya Bunge Leo Jijini Dodoma.Watumishi wa Bunge wakiwa katika viwanja vya Bunge tayari kuuga mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt John Pombe Magufuli katika viwanja vya Bunge Leo Jijini Dodoma.
Askari wa Usalama Barabarani wakiaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt John Pombe Magufuli katika viwanja vya Bunge Leo Jijini Dodoma.
Mbunge wa Momba Condester Sichalwe akilia kwa uchungu mara baada ya kuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt John Pombe Magufuli katika viwanja vya Bunge leo Jijini Dodoma. Mwili wa aliyekuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hayati Dkt John Pombe Magufuli ukitolewa katika viwanja vya Bunge kuelekea Uwanja wa Jamhuri kwa ajili ya Kuagwa kitaifa.
No comments:
Post a Comment