HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

March 21, 2021

RAIS SAMIA AONGOZA KUPOKEA MWILI WA HAYATI JPM DODOMA

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Viongozi na Wananchi wa JiJi la Dodoma kupokea Mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli ulipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Dodoma leo March 21,2021. (Picha na Ikulu).

No comments:

Post a Comment

Pages