Waziri wa Viwanda na Biashara, Profesa Kitila Mkumbo, akiandaa hotuba kabla ya kuzungumza na waandishi wa habari katika maadhimisho ya miaka 60 ya uhuru wa Tanzania Bara. Mazungumzo hayo yalifanyika jijini Dodoma Novemba 17, 2021. Picha na Deus Mhagale.
Waziri wa Viwanda na Biashara, Profesa Kitila Mkumbo, akisisitiza jambo alipokuwa akizungumza na wanahabari jijini Dodoma.
Wakurugenzi wa Wizara ya Viwanda na B iashara na wa Idara ya habari Maelezo, wakimsikiliza waziri.
Waziri wa Viwanda na Biashara, Profesa Kitila Mkumbo, akiondoka baada ya kumaliza kuzungumza na wanahabari Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Doto James. Picha na Deus Mhagale.
No comments:
Post a Comment