HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

November 20, 2021

MJUMITA , TFCG WABADILI MWENENDO WA WANANCHI LIWALE, WABOBEA KATIKA UHIFADHI WA MISITU


Mkuu wa Wilaya ya Liwale Judith Nguli akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani)  ambao wapo katika ziara ya kujifunza kuhusu utekelezaji wa Usimamizi Shirikishi wa Misitu wilayani Liwale mkoani Lindi katika mkutano uliofanyika jana.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale, Tina Sekambo akizungumza na waandishi wa habari.
Wajumbe wa Halmashauri ya kijiji hicho wakiwa kwenye mkutano huo.
Baadhi ya waaandishi wa habari na maofisa kutoka mashirika ya TFCG na MJUMITA wakiwa kwenye mkutano huo.
Mkutano ukiendelea.

Afisa Sera na Majadiliano wa TFCG Elida Fundi  akizungumza kwenye mkutano huo.

No comments:

Post a Comment

Pages