HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

November 20, 2021

WAFANYAKAZI WIZARA YA HABARI, UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO WAKUTANA KUFUNDANA ILI KAZI IENDELEE

 

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbas,akizungumza katika kikao cha watumishi wa Wizara hiyo kilichokutana jijini Dodoma leo. Picha na Deus Mhagale.
Wafanyakazi wa Wizara hiyo wakimsikiliza kwa makini katibu Mkuu wa Wizara hiyo alipokuwa akizungumza katika kikoa hicho leo.


Waziri Inocent Bashungwa na Naibu wake Pauline Gekul,wakifuatilia hotuba ya katibu mkuu wa wizara hiyo.



Naibu Waziri wa Wizara hiyo Pauline Gekul, akizungumzamkatika kikao hicho.
Waziri Inoncent Bashungwa na Katibu Mkuu Dkt. Hassan Abbasi, wakimshangilia Naibu Waziri wa Wizara hiyo alipokuwa akihutubia.


Waziri na Naibu wake wakipongezana baada ya kumaliza kuzungumza.

Waziri Inoncent Bashungwa, akihutubia wafanyakazi wa wizara yake katika kikao hicho.

No comments:

Post a Comment

Pages