RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Cheti Maalum cha pongezi na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Ndg.Abdulmajid Nsekela na (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa Bodi ya CRDB Bw. Ally Laay, wakati wa ufunguzi wa Tawi la CRDB Al-Barakah Banking Michezani Mall Zanzibar.(Islamic Banking), ufunguzi huo umefanyika leo 18-11-2021 .(Picha na Ikulu).
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akikata utepe kuashirika kulizindua Tawi la Benki ya CRDB Michezani Mall Huduma
ya Benki Al-Barakah Banking (Islamic Banking) na (kulia) Mkurugenzi Mtendaji wa
CRDB Benki Ndg. Abdulmajid Nsekela na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi CRDB Benki
Ndg. Ally Laay na Naibu Gavana BOT Dkt.Bernard
Kibesse (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar
Mhe. Jamal Kasim Ali, hafla hiyo imefanyika leo 18-11-2021.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi
akikabidhiwa Cheti Maalum cha pongezi na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB
Ndg.Abdulmajid Nsekela na (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa Bodi ya CRDB Bw.
Ally Laay, wakati wa ufunguzi wa Tawi la CRDB Al-Barakah Banking Michezani Mall
Zanzibar (Islamic Banking), ufunguzi huo umefanyika leo 18-11-2021.
/RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akikabidhi kumbukumbu ya Hati ya Uzinduzi wa Tawi la Benki ya CRDB Michezani
Mall Huduma ya Islamic Banking na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Ndg.
Abdulmajid Nsekela na (kushoto kwake) Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa CRDB.Bw.
Ally Laay, baada ya hafla ya uzinduzi huo uliyofanyika katika jengo la benki
hiyo Michezani Mall Zanzibar leo 18-11-2021.
/MKURUGENZI
wa Masoko wa Benki ya CRDB Bi. Tully Mwambapa akizungumza na kutowa maelezo
wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Tawi la Benki ya CRDB Michezani Mall Huduma ya
Islamic Banking (Al-Barakah Banking) hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa
Michezani Mall Jijini Zanzibar.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akimsikiliza Mkuu wa Kitengo cha Barakah Banking (Islamic Banking) Ndg.Rashid
Rashid akitowa maelezo ya huduma
zinazotolewa na Benki hiyo ya Huduma ya Islamic Banking wakati wa uzinduzi huo
uliofanyika leo 18-11-2021, katika ukumbi wa Michezani Mall Jijini Zanzibar.
MKURUGENZI
Mtendaji wa Benki ya CRDB Ndg.Abdulmajid Nsekela akizungumza wakati wa hafla ya
Uziunduzi wa Tawi la Benki ya CRDB Michezani Huduma ya Islamic Banking, hafla
hiyo imefanyika leo 18-11-2021.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akizungumza na kuhutubia katika hafla ya uzinduzi wa Tawi la Benki ya CRDB
Michezani Mall Huduma ya Islamic Banking Michezani Mall Jijini Zanzibar.
No comments:
Post a Comment