HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

November 19, 2021

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMEFUNGUA TAWI LA BENKI YA CRDB ISLAMIC BANKING MICHEZANI MALL ZANZIBAR

 

 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Cheti Maalum cha pongezi na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Ndg.Abdulmajid Nsekela na (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa Bodi ya CRDB Bw. Ally Laay, wakati wa ufunguzi wa Tawi la CRDB Al-Barakah Banking Michezani Mall Zanzibar.(Islamic Banking), ufunguzi huo umefanyika leo 18-11-2021 .(Picha na Ikulu).

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuashirika kulizindua Tawi la Benki ya CRDB Michezani Mall Huduma ya Benki Al-Barakah Banking (Islamic Banking) na (kulia) Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Benki Ndg. Abdulmajid Nsekela na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi CRDB Benki Ndg. Ally Laay  na Naibu Gavana BOT Dkt.Bernard Kibesse (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Jamal Kasim Ali, hafla hiyo imefanyika leo 18-11-2021.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Cheti Maalum cha pongezi na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Ndg.Abdulmajid Nsekela na (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa Bodi ya CRDB Bw. Ally Laay, wakati wa ufunguzi wa Tawi la CRDB Al-Barakah Banking Michezani Mall Zanzibar (Islamic Banking), ufunguzi huo umefanyika leo 18-11-2021.
/RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhi kumbukumbu ya Hati ya Uzinduzi wa Tawi la Benki ya CRDB Michezani Mall Huduma ya Islamic Banking na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Ndg. Abdulmajid Nsekela na (kushoto kwake) Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa CRDB.Bw. Ally Laay, baada ya hafla ya uzinduzi huo uliyofanyika katika jengo la benki hiyo Michezani Mall Zanzibar leo 18-11-2021.

/MKURUGENZI wa Masoko wa Benki ya CRDB Bi. Tully Mwambapa akizungumza na kutowa maelezo wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Tawi la Benki ya CRDB Michezani Mall Huduma ya Islamic Banking (Al-Barakah Banking) hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Michezani Mall Jijini Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkuu wa Kitengo cha Barakah Banking (Islamic Banking) Ndg.Rashid Rashid  akitowa maelezo ya huduma zinazotolewa na Benki hiyo ya Huduma ya Islamic Banking wakati wa uzinduzi huo uliofanyika leo 18-11-2021, katika ukumbi wa Michezani Mall Jijini Zanzibar. 
MKURUGENZI Mtendaji wa Benki ya CRDB Ndg.Abdulmajid Nsekela akizungumza wakati wa hafla ya Uziunduzi wa Tawi la Benki ya CRDB Michezani Huduma ya Islamic Banking, hafla hiyo imefanyika leo 18-11-2021.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuhutubia katika hafla ya uzinduzi wa Tawi la Benki ya CRDB Michezani Mall Huduma ya Islamic Banking Michezani Mall Jijini Zanzibar.

 
 
 


No comments:

Post a Comment

Pages