HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

November 30, 2021

SPORT PESA YAKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA BUNGE SPORTS CLUB

 

 

Mwenyekiti wa Timu za Bunge, Abbas Tarimba, akizungumza katika hafla ya makabidhiano ya jezi kutoka kampuni ya Sport Pesa, jenzi ambazo timu nane za bunge zitaenda kuzitumia katika mashindano ya wabunge wa Afrika Mashariki yanayotalajiwa kuanza mwanzoni mwa mwezi huu jijini Arusha. Hafla hiyo ilifnayika jijini Dodoma leo. Picha na Deus Mhagale.


Meneja Mawasiliano wa Kampuni ya Sport Pesa, Sabrian Msuya, akizungumza katika hafla ya kukabidhi jezi kwa wabunge leo. Katikati ni Mwenyekiti wa Klabu ya Bunge, Abbas Tarimba na kushoto ni Kaimu Katibu wa Bunge Mohamed Mwanga.

 

Baadhi ya wachezaji waliokuwepo katika ahafla hiyo.


Wachezaji wa Timu ya Kuvuta Kampba akionyesha jezi za timu yao.

 

Wachezaji wa timu ya bunge ya Riadha akionyesha jenzi.


Mchezaji wa Timu ya bunge mchezo wa Dartiz, akionyesha jenzi watakazotumia.


Mbunge Sslma Kikwete, akionyesha jezi zitakazovaliwa na Viongozi wa msafara wa wabunge hao.

 

Kaimu Katibu wa Bunge, Mohamed Mwanga akizungumza baada ya kukabidhiwa jezi za timu za bunge.

 

Baadhi ya wachezaji wa timu za Bunge waliovalia jezi wakipiga picha ya pamoja na viongozi baada ya kumalizika hafla hiyo.

 

Mwenyekiti Abbas Tarimba, akizungumza na baadhi ya wachezaji wa timu zake.




No comments:

Post a Comment

Pages