Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Balozi Liberata Mulamula akibadilishana mawazo na Naibu Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Zamaradi Kawawa, kabla ya kuanza mkutano wake na waandishi wa habari kuzungumzia maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara. Mazungumzo hayo yalifanyika jijini Dodoma leo. Picha na Deus Mhagale.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Balozi Liberata Mulamula , akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma leo.
Wanahabari wakimsikiliza Balozi alipokuwa akizungumza.
Naibu Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo, Zamaradi Kawawa, akimshukuru waziri baada ya kumaliza mazungumzo na wanahabari.
No comments:
Post a Comment