Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, akizungumza na waandishi wa habari katika maadhimisho ya miaka 60 ya uhuru wa Tanzania Bara, mazungumzo hayo yalifanyika jijini Dodoma leo.
Wanahabari wakimsikiza Waziri wa Ardhi Nyumba Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, alipokuwa akizungumza nao leo.
Waziri wa Ardhi Nyumba na Makazi, William Lukuvi, akizungumza na Naibu Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo, Zamaradi Kawawa mazungumzo hayo yalifanyika baada ya kumaliza kuzungumza na wanahabari leo.
No comments:
Post a Comment