HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

November 22, 2021

UTT AMIS yatoa Elimu ya Uwekezaji jijini Mwanza

 

Afisa Mkuu wa Masoko na Uhusiano wa Kampuni ya UTT AMIS, Martha Mashiku, akitoa mada kwa Wajumbe wa Christian Social Services Commission wakiwa katika semina iliyolenga kutoa elimu juu ya fursa za uwekezaji ambapo wanaweza kuwekeza rasilimali fedha zao kwenye mifuko kwa ajili ya usimamizi wa biashara zao huku hawapotezi thamani ya fedha kutokana na ukuaji wa fedha hizo kwenye mifuko. Semina hiyo ilifanyika jijini Mwanza Novemba, 19, 2021.


Baadhi ya Wajumbe wa Christian Social Services Commission wakiwa katika semina iliyolenga kutoa elimu juu ya fursa za uwekezaji.

No comments:

Post a Comment

Pages