Kijana wa Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) jijini Arusha, Nathan Kimaro amemzawadia nakala ya kitabu cha aliyekuwa Rais wa awamu ya pili Mhe.Ali Hassan Mwinyi (MZEE RUKHSA), Msomi na Mwanajumui wa Afrika (Pan-Africanist) Profesa Patrick Lumumba hapo jana jijini humo. Prof Lumumba alikuwa mgeni mwalikwa kwenye mkutano wa Kimataifa ulioandaliwa na Taasisi ya WAJIBU , uliofanyika kwa siku mbili (Novemba 18-19,2021) jijini Arusha uliohusu masuala ya Uwazi, na Uwajibikaji kwa mwaka 2021 (International Transparency and Accountability Conference 2021 (ITAC 2021).
November 22, 2021
Home
Unlabelled
KIJANA UVCCM ARUSHA AMZAWADIA KITABU CHA 'MZEE RUKHSA' PROF.LUMUMBA
KIJANA UVCCM ARUSHA AMZAWADIA KITABU CHA 'MZEE RUKHSA' PROF.LUMUMBA
Share This
About HABARI MSETO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Author Details
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.
No comments:
Post a Comment