HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

November 24, 2021

WANAFUNZI WALIOJIFUNGUA KULEJEA MASHULENI: PROFESA NDALICHAKO


Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Profesa  Joyce Ndalichako, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu miaka 60 ya uhuru wa Tanzania Bara, mazungumzo hayo yalifanyika jijini Dodoma. Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Leonard Akwilapo. Picha na Deus Mhagale.
Mkurugenzi Mkuu wa VETA, Dkt. Pancras Bujulu (wapili kishoto), akiwa na Naibu Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Zamaradi Kawawa (kushoto) na Maofisa wengine wa wizara ya hiyo wakisikiliza hotuba ya Waziri Profesa Ndalichako.
Maofisa wa Wizara hiyo wakiwa katika ukumbi wa mikutano kufuatilia hotuba ya Waziri.
Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Wizara hiyo Sylvia Lupemba, akiwaongoza wakurugenzi wa Wizara hiyo na vitengo vyake kutoka ukumbini.

No comments:

Post a Comment

Pages