HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

November 24, 2021

HAFLA YA UTIAJI SAINI UJENZI WA JENGO LA WIZARA YA ELIMU JIJINI DODOMA LEO


 Katibu Mkuu Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia, Dkt.Leonard Akwilapo (kushoto) akizungumza kabla ya utiaji saini ujensi wa Makao Makuu ya wizara hiyo katika Mji wa Kiserikali wa Magufuli eneo la Mtumba jijini Dodoma leo. Picha na Deus Mhagale.
Katibu Mkuu Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia, Dkt.Leonard Akwilapo (kushoto) na David Zhhou, ambaye ni Mkurugenzi wa Mikataba wa Kampuni ya CRJ Afrika Mashariki kutoka China.
Katibu Mkuu Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia, Dkt. Leonard Akwilapo (kushoto) na David Zhhou, wakionyesha mkataba baada ya kutiliana saini.
Katibu Mkuu Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia, Dkt. Leonard Akwilapo (kushoto) na akimkabidhi mwongozo wa mkataba wa ujenzi huo David Zhhou Kushoto ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasiliamri Watu wa Wizara hiyo Moshi Kabengwe.
Katibu Mkuu Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia, Dkt. Leonard Akwilapo akipiga picha na Viongozi wa Kampuni hiyo ya Ujenzi na wawizara yake baada ya kumalizika hafla hiyo.
Mkurugenzi wa Utawala na Rasiliamri Watu wa Wizara hiyo Moshi Kabengwe, akiwafafanulia jambo wanahabari baada ya kukamilika hafla hiyo.

No comments:

Post a Comment

Pages