Na Irene Mark
WATANZANIA wameshauri kunywa maji ya kutosha, kuvaa nguo nyepesi na kuepuka kukaa juani muda mrefu kutokana na hali ya joto kali lililopo hivi sasa.
Joto la mwilili likizidi 40 Centigrade Mifumo ya mwili inachanganyikiwa Fahamu hupungua, kuweweseka, sauti inakauka, Speed ya kutenda na kunena inapungua anaweza kupata degedege
Nini hasa kinatokea- joto la nje likipanda, mwili hupoteza maji na chumvichumvi Chumvix2 za kwenye damu zikipungua tunapata kiu Joto lijipanda zaidi linaathir chumvi x2 za kwenye cell mwili unashibdwa kufanya kazi zake ipassvyo.
No comments:
Post a Comment