Naibu Waziri Katiba na Sheria ambaye ni Mbunge wa jimbo la Kavuu Mhe. Geofrey Mizengo Pinda akizungumza na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe Bi. Catherine Mashalla alipotembelea viwanda vya kuchakata mazao katika vilivyopo katika kata ya Maji Moto Mkoani Katavi.
Naibu Waziri Katiba na Sheria ambaye ni Mbunge wa jimbo la Kavuu Mhe. Geofrey Mizengo Pinda na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe Bi. Catherine Mashalla wakionyesha mchele unaozalishwa na moja ya kiwanda Kinachopatika katika eneo la Maji Moto Mkoani Katavi.
Naibu Waziri Katiba na Sheria ambaye ni Mbunge wa jimbo la Kavuu Mhe. Geofrey Mizengo Pinda akisaini kitabu cha wageni cha Wageni mara baada ya kuwasili katika kiwanda cha Flamingo Foods Company Limited kujionea ukarabati mkubwa uliofanyika katika kiwanda hicho baada ya maghala ya kuhifandhia mchele kuezuliwa na upepo mkali uliotokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha Mkoani Katavi.Katavi.
No comments:
Post a Comment