HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

February 16, 2022

Rais Samia azungumza na Mabalozi wa OACPS Brussels nchini Ubelgiji


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia katika Mkutano wa  Mabalozi wa nchi Wanachama wa Umoja wa nchi za Afrika, Caribbean na Pacific (OACPS) uliofanyika katika Makao Makuu ya Umoja huo Brussels nchini Ubelgiji tarehe 15 Februari, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini Kitabu cha Wageni  katika Makao Makuu ya Umoja wa nchi za Afrika, Caribbean na Pacific   (OACPS) baada ya kuhutubia tarehe 15 Februari, 2022. 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Mabalozi wa nchi Wanachama wa  Umoja wa nchi za Afrika, Caribbean na Pacific   (OACPS) baada ya Mkutano wa OACPS uliofanyika katika Makao Makuu ya Umoja huo Brussels nchini Ubelgiji.
PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment

Pages