HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

June 22, 2022

MDEE NA WENZAKE 18 WAANGUKIA PUA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA

  Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika (mwenye miwani), akiwa na wafuasi wa chama hicho, wakifurahi baada ya Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam, kutupilia mbali maombi ya Halima Mdee na wenzake 18 waliokuwa wameiomba mahakama hiyo itengue uamuzi wa Baraza Kuu la Chadema lililowavua uanachama.

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika (wa pili kushoto), wakili wa Chadema, Peter Kibatala (wa pili kulia), wakitoka Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, baada ya mahakama hiyo kutupilia mbali maombi ya Halima Mdee na wenzake 18 waliokuwa wameiomba mahakama hiyo itengue uamuzi wa Baraza Kuu la Chadema lililowavua uanachama.
Wanachama na wafuasi wa Chadema wakifurahi baada ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, kutupilia mbali maombi ya Halima Mdee na wenzake 18 waliokuwa wameiomba mahakama hiyo itengue uamuzi wa Baraza Kuu la Chadema lililowavua uanachama.

No comments:

Post a Comment

Pages