Msanii wa Bongo Movie Kajala Masanja ameelezea hisia zake jinsi anavyompenda Harmonize kupitia ukurasa wake wa instagram kwa kuandika.
"Nampenda kwa sasabu dunia nzima iko kinyume na sisi" ameandika msanii huyo kupitia Instagram akaunti yake.
About HABARI MSETO
No comments:
Post a Comment