HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 10, 2022

Raheem Sterling kutimkia Chelsea

Klabu za Chelsea na Manchester City zimekubaliana kuhusu uhamisho wa mshambuliaji nyota wa Manchester City Raheem Sterling (27) kwa ada ya Paundi Milioni 47.5

Sterling amekubaliana na Chelsea mkataba wa miaka mitano na atalipwa Paundi 300,000 kwa wiki.
Pia, kuna chaguo la kuongezwa kwa msimu mmoja kwenye mkataba huo.

Chelsea iliweka wazi kuwa inamtaka mshambuliaji huyo ili kuimarisha safu yake ya ushambuliaji, na kufuatia mazungumzo chanya na kocha Thomas Tuchel, Sterling alichagua kujiunga na klabu hiyo.


 

No comments:

Post a Comment

Pages