HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 09, 2022

KENYATTA: NILITAKA KUACHA URAIS ILI KUZUIA MACHAFUKO


Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta alisema alikuwa tayari kuachia madaraka baada ya Mahakama Kuu kufuta ushindi wake katika Uchaguzi Mkuu mwaka 2017 ili kuzuia umwagaji damu. Naibu wake, William Ruto alimshawishi kutofanya hivyo.


Amefafanua hayo kufuatia kusambaa mtandaoni sauti ya Ruto akisikika akisema alitamani kumpiga kofi Kenyatta kwa kutaka kuchukua maamuzi hayo
Kenyatta ameeleza, "Iwapo wangenipiga kofi ningewapa shavu la pili na wapige lingine. Ningeachia madaraka na kwenda Kijijini Ichaweri"

No comments:

Post a Comment

Pages