HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 09, 2022

Injinia Hersi aanika vipaumbele vyake

 


VIPAUMBELE VYANGU NIKIWA RAISI WA YANGA.

1. MIUNDOMBINU YA KLABU.

a. Ujenzi wa uwanja wa mechi wenye uwezo wa kubeba watu 20,000 - KAUNDA JANGWANI

b. Marekebisho ya jengo la klabu - JANGWANI

c. Kuendeleza TRAINING CENTRE - KIGAMBONI

2. MABADILIKO YA MUUNDO WA KLABU.

Klabu yetu kupitia kwa wanachama walipitisha mfumo wa mabadiliko. Nikiwa mmoja waumini wa mabadiliko hayo, naahidi kuyasimamia na kuyaendeleza mabadiliko hayo kwa mujibu wa KATIBA YETU.

3. KUIMARISHA UCHUMI wa klabu.

Kupitia kwa miradi ya usajili wa wanachana.
Kupitia kwa miradi ya usajili wa washabiki
Kuvutia Wadhamini mbali mbali.
Kuvutia wawekezaji.

4. KUJENGA KIKOSI IMARA CHA KULETA MATAJI NA FURAHA KWA WANA YANGA.

a. LIGI KUU
b. FA CUP
c. NGAO YA JAMII
d. MASHINDANO YA KIMATAIFA

5. KUJENGA TIMU IMARA ZA TIMU ZA VIJANA NA WANAWAKE.

a. U-17
b. U-20
c. YANGA PRINCESS

6. Kuongeza USHIRIKIANO baina ya KLABU na wanachama na mashabiki wake, wadau mbali mbali ikiwemo idara za serekali, sekta binafsi, waandishi wa habari na watanzania kwa ujumla.

Mwanachama wa Young Africans SC kwa heshima na taadhima naomba KURA YAKO ya NDIO!

Eng. Hersi Said Mgombea Urais.


No comments:

Post a Comment

Pages