Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Kanali Laban Thomas, akipanda miti wa
mnyonyo kweye chanzo cha Mto Luegu katika kijiji cha Ngwinde Kata ya
Litola wilaya ya Namtumbo ambapo jumla ya miti ya asili 1500 imepandwa
kwenye chanzo hicho .Mto Luegu unachangia asilimia 19 ya maji kwenye Mto
Rufiji ambao unatumika kuxzalishia mradi wa umeme wa maji katika bwawa
la Mwalimu Nyerere.
January 03, 2023
Home
Unlabelled
MITI YA ASILI 3500 YAPANDWA KATIKA UZINDUZI WA WIKI MAALUM YA UPANDAJI MITI RUVUMA
MITI YA ASILI 3500 YAPANDWA KATIKA UZINDUZI WA WIKI MAALUM YA UPANDAJI MITI RUVUMA
Share This
About HABARI MSETO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Author Details
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.
No comments:
Post a Comment