Mufti
na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Dkt. Abubakar Zubeir Bin Ally
(katikati) akiwa ameambatana Mkurugenzi Mtendaji wa
Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kulia) wakati walipowasili kwenye
hafla ya
futari iliyoandaliwa na Benki ya CRDB kwa wateja wake, wadau, pamoja na
vituo vya watoto yatima, iliyofanyika jana katika Ukumbi wa Diamond
Jubilee jijini Dar es Salaam na
kuhudhuriwa na zaidi ya watu 1,000.
Mufti
na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Dkt. Abubakar Zubeir Bin Ally
(watano kulia) kwa pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB,
Abdulmajid Nsekela (wa tatu kulia) wakikabidhi sehemu ya msaada wa
vyakula na mahitaji mengine kwa watoto wawakilishi wa moja ya kituo cha
kuwalea watoto yatima, wakati wa hafla ya
futari iliyoandaliwa na Benki ya CRDB kwa wateja wake, wadau, pamoja na
vituo vya watoto yatima, iliyofanyika katika Ukumbi wa Diamond
Jubilee jijini Dar es Salaam. Wa pili kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya
Ilala, Edward Mpogolo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRD, Abdulmajid Nsekela akizungumza katika hafla ya
futari iliyoandaliwa na Benki ya CRDB kwa wateja, wadau, pamoja na
vituo vya watoto yatima, iliyofanyika jana katika Ukumbi wa Diamond
Jubilee jijini Dar es Salaam.
Mufti
na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Dkt. Abubakar Zubeir Bin Ally
akizungumza na wageni mbalimbali walioalikwa katika hafla ya
futari iliyoandaliwa na Benki ya CRDB kwa wateja wake, wadau, pamoja na
vituo vya watoto yatima, iliyofanyika jana katika Ukumbi wa Diamond
Jubilee jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya CRDB, Dkt. Ally Hussein Laay akizungumza katika hafla ya
futari iliyoandaliwa na Benki ya CRDB kwa wateja, wadau, pamoja na
vituo vya watoto yatima, iliyofanyika jana katika Ukumbi wa Diamond
Jubilee jijini Dar es salaam.
Kaimu Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam, Sheikh Walid Alhad Omar akizungumza na wageni mbalimbali walioalikwa katika hafla ya
futari iliyoandaliwa na Benki ya CRDB kwa wateja wake, wadau, pamoja na
vituo vya watoto yatima, iliyofanyika jana katika Ukumbi wa Diamond
Jubilee jijini Dar es salaam.
Mkuu wa Kitengo cha CRDB Al-Baraq, Rashid Rashid akizungumza katika hafla ya
futari iliyoandaliwa na Benki ya CRDB kwa wateja, wadau, pamoja na
vituo vya watoto yatima, iliyofanyika jana katika Ukumbi wa Diamond
Jubilee jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment