HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

March 08, 2023

Wafanyakazi wa UTT AMIS washerehekea Siku ya Wanawake duniani 2023 pamoja na wanafunzi wa Shule ya Mtoni Maalum

   

Ofisa Mkuu Masoko wa Kituo cha Uwekezaji, UTT AMIS, Martha Mashiku kulia, akiwagawia vinywaji wanafunzi wa Shule ya Mtoni Maalum, anayofundisha wanafunzi wenye ulemavu wa akili na Usonji wakati wa kusherehekea siku ya wanawake duniani.

Ofisa Mkuu Masoko wa Kituo cha uwekezaji, UTT AMIS, Martha Mashiku (kulia, akiwagawia vinywaji wanafunzi wa Shule ya Mtoni Maalum, anayofundisha wanafunzi wenye ulemavu wa akili na Usonji wakati wa kusherehekea siku ya wanawake duniani.

Wafanyakazi wa Kituo cha uwekezaji, UTT AMIS, wakifurai na wanafunzi wa Shule ya Mtoni Maalum, wakati walipoenda kuwapelekea msaada wa vitu mbalimbali.

Afisa Mkuu wa Masoko na Uhusiano wa Kampuni ya Uwekezaji ya UTT AMIS, Martha Mashiku (wa pili kushoto), akimkabidhi vitu mabilimbali mratibu wa Kituo cha Udiakonia, Winfrida Malumbo, kilichopo Mtoni jijini Dar es Salaam, kinachofundisha watoto wenye ulemavu wa akili na Usonji wakati wa kusherehekea Siku ya Wanawake duniani.








 

No comments:

Post a Comment

Pages