Na Hussein Ndubikile, Dar es Salaam
Kampuni
ya Simu za Mkononi ya Airtel kupitia huduma yake ya Airtel Money Timiza
Akiba kwa ushirikiano na Benki ya Letshego Tanzania wamezindua
promosheni ya kuweka akiba kidigitali – itakayojulikana kama ‘Airtel
Money Vimba na Timiza Akiba Ushinde’ ambapo wateja wa Airtel Money
watapata nafasi ya kujishindia Bajaji, Pikipiki Luninga ya flati Pamoja
na pesa taslimu kila wanapoweka akiba kupitia Airtel Money Timiza akiba.
Airtel Money Timiza Akiba ni huduma inayowawezesha wateja wa Airtel Money kuweka akiba kidigital wakiwa popote.
Akizungumza jijini Dar es Salaam leo wakati akitangaza kuzindua promosheni hiyo mpya, Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania Jackson Mmbando amesema, ‘Promosheni ya Airtel Money Vimba na Timiza Akiba Ushinde inalenga kuhuisha na kuhamasisha wateja wa Airtel Money na jamii kwa ujumla kujijenga utamaduni wa kuweka akiba kidigitali. Airtel Money tunajisikia Fahari sana tunapoendeleza ubunifu katika huduma hii ya Airtel Money inayokuwa kwa kasi huku wateja wakijihudumia kidigitali kupitia Airtel Money, alisema Mmbando na kuongeza kuwa Airtel Tanzania imeshirikiana na Benki ya Letshego Tanzania kuendesha promosheni hiyo itakayodumu kwa muda wa miezi miwili (wiki 8) kuanzia leo.
Promosheni ya Airtel Money Vimba na Timiza Akiba Ushinde itawazadia wateja wote wa Airtel Money wanaoweka akiba kupitia Timiza akiba kuanzia wiki hii ambapo hadi kufikia mwisho wa promoshen wateja 203 watakuwa wameibuka washindi wa promosheni hii. Tutakuwa na droo moja kila wiki ambapo Wateja 25 watashijishindia sh 20,000 kila mmoja na tutawawekewa pesa zao za zawadi moja kwa moja kwenye akaunti zao za Airtel Money, vilevile tutatoa zawadi ya bajaji mpya, pikipipiki mpya, pamoja na luninga mpya (flatscreen) kwenye droo ya mwisho ya promosheni hii.
Mmbando aliongeza', “Mteja yeyote wa Airtel Money mwenye Timiza akiba ambaye anawekeza kuanzia shilingi 20,000 kwa wiki anastahili kuingia kwenye shindano na anaweza kushinda mara moja tu wakati wa droo ya wiki. Pia ninawakaribisha wateja wa Airtel Money ambao hawajawahi kutumia huduma ya Timiza Akiba kuanza kutumia sasa na kupata nafasi ya kujishindia zawadi hizi kabambe kila wiki.
“Wateja hawahitaji kujiandikisha au kulipa ili kuingia kwenye droo, utatakiwa tu kuweka akiba kwenye Airtel Money Timiza akiba kisha moja kwa moja utapata nafasi ya kuingia kwenye droo ili kujishindia”. Alisema Mmbando
Kwa upande wake,, Mkuu wa kitengo cha Mauzo na Masoko wa Benki ya Letshego Tanzania, Leah Phili “Benki ya Letshego Tanzania tunajivunia ushrikiano wetu na Airtel Money kupitia huduma hii ya kujiwekezea kidigitali, tunawahakikishia wateja wote wa Airtel Money wenaotumia Timiza Akiba kwamba watapata zawadi zao za ushindi kwenye akaunti zao za Airtel Money zao mara tu watakapotangazwa kuwa washindi”.

Leah
ameeleza “Kuwekeza akiba ni rahisi Piga *150*60# chagua namba 6 kisha
namba 1 na ubonyeze 3 uanze kuweka akiba kidigitali huku ukiwa umejiweka
kwenye nafasi ya watakaoshinda Bajaji kwa mshindi wa Kwanza, Pikipiki
kwa mshindi wa pili, Televisheni ya Kisasa kwa mshindi wa tatu au pesa
taslimu za kila wiki.
Leah amesisitiza kuwa “Wateja watakaowekeza kupitia Timiza akiba pia watafaidika na riba ya hadi 4.5% kwa mwaka kwa kile kiwango watakachukwa wamejiwekea ndani ya mwaka.
No comments:
Post a Comment