HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

June 23, 2023

Rais Samia ashiriki katika Tamasha la Vyakula vya Baharini (Zanzibar Seafood Festival) Kendwa Mkoa wa Kaskazini Unguja, Zanzibar

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwapungia mkono wananchi mara baada ya kuwasili kwenye msimu wa pili wa Tamasha la Vyakula vya Baharini (Zanzibar Seafood Festival 2023) lililofanyika katika ufukwe wa Kendwa Mkoa wa Kaskazini Unguja, Zanzibar tarehe 23 Juni, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akigawa Boti hizo wa baadhi ya Waakilishi wa Vikundi mbalimbali vya Uvuvi wa Samaki na mazao Bahari kwenye msimu wa pili wa Tamasha la Vyakula vya Baharini (Zanzibar Seafood Festival 2023) lililofanyika katika ufukwe wa Kendwa Mkoa wa Kaskazini Unguja, Zanzibar tarehe 23 Juni, 2023


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuzindua ugawaji wa Boti 40 za Uvuvi kwa ajili ya kukabidhi vikundi mbalimbali vya Uvuvi wa Samaki na mazao Bahari kwenye msimu wa pili wa Tamasha la Vyakula vya Baharini (Zanzibar Seafood Festival 2023) lililofanyika katika ufukwe wa Kendwa Mkoa wa Kaskazini Unguja, Zanzibar tarehe 23 Juni, 2023. Viongozi wengine pichani ni Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega pamoja na Viongozi wengine wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.





Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua mabanda mbalimbali ya Maonesho ya Biashara kwenye msimu wa pili wa Tamasha la Vyakula vya Baharini (Zanzibar Seafood Festival 2023) lililofanyika katika ufukwe wa Kendwa Mkoa wa Kaskazini Unguja, Zanzibar tarehe 23 Juni, 2023.


No comments:

Post a Comment

Pages