HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 06, 2023

Rais Dk. Samia Suluhu Hassan pamoja na Rais wa Malawi Rais wa Malawi Dk. Lazarus McCarthy Chakwera washuhudia mechi ya Mpira wa Miguu kati ya Nyasa Big Bullets na Yanga, Lilongwe nchini Malawi


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Mwenyeji wake Rais wa Malawi Mhe. Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera wakati wakikagua Timu za Nyasa Big Bullets pamoja na Yanga katika uwanja wa Taifa wa Bingu, Lilongwe nchini Malawi tarehe 6 Julai, 2023.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mwenyeji wake Rais wa Malawi Mhe. Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera kwenye picha ya pamoja na Timu ya Nyasa Big Bullets ya Malawi katika maadhimisho ya miaka 59 ya Uhuru wa Malawi yaliyofanyika katika uwanja wa Taifa wa Bingu, Lilongwe nchini Malawi tarehe 6 Julai, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mwenyeji wake Rais wa Malawi Mhe. Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera kwenye picha ya pamoja na Timu ya Yanga katika maadhimisho ya miaka 59 ya Uhuru wa Malawi yaliyofanyika katika uwanja wa Taifa wa Bingu, Lilongwe nchini Malawi tarehe 6 Julai, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mwenyeji wake Rais wa Malawi Mhe. Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera kwenye picha ya pamoja na Waamuzi (Marefa) wa mchezo kati ya Nyasa Big Bullets na Yanga uliofanyika katika uwanja wa Taifa wa Bingu, Lilongwe nchini Malawi tarehe 6 Julai, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mwenyeji wake Rais wa Malawi Mhe. Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera wakati wakitoka kukagua Timu za Nyasa Big bullets na Yanga katika uwanja wa Taifa wa Bingu, Lilongwe nchini Malawi tarehe 6 Julai, 2023.

No comments:

Post a Comment

Pages