HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 14, 2023

RAIS WA ZANZIBAR ALHAJJ DK. HUSSEIN MWINYI AMEONGOZA WANANCHI WA ZANZIBAR KATIKA KISOMO CHA HITMA NA DUA KUMUOMBEA MAREHEMU MOHAMMED RAZA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisaini kitabu cha maombolezi cha Marehemu Mohammerd Hassanali Raza, wakati wa Kisomo cha Hitma na dua kumuombea marehemu kilichofanyika leo 14-7-2023,katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu).

/RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Familia ya Marehemu akiwemo Mtoto wa marehemu Raza, Hassan Mohammed Raza na Wananchi wa mbalimbali wa Zanzibar katika Kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Marehemu Mohammed Hassanali Raza, kilichofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 14-7-2023.(Picha na Ikulu).

VIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Wananchi na Viongozi wa Dini Zanzibar wakishiriki katika kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Marehemu Mohammed Hassanali Raza kilichofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 14-7-2023 Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu).

No comments:

Post a Comment

Pages