Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Antony Mtaka (kulia), akipata maelezo kutoka kwa Afisa Masoko na Uhusiano wa Kampuni ya UTT AMIS, Abbas Kandila juu ya fursa za Uwekezaji wa Pamoja kwa wananchi waliofika katika Maonesho ya Nane Nane Jijini Mbeya.

Afisa Mkuu wa Masoko na Uhusiano wa Kampuni ya Uwekezaji ya UTT AMIS, Martha Mashiku, akitoa maelezo kwa wananchi waliofika katika banda la kampuni hiyo kwenye maonesho ya Nane Nane jijini Mbeya.
No comments:
Post a Comment