Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi Benki ya CRDB, Stephen Adili (kulia), akimkabidhi funguo ya gari mshindi wa Kampeni ya SimBanking, Alex Mwijuka Bakunda wakati wa hafla ya kutoa zawadi kwa mshindi wa nne wa kampeni hiyo iliyofanyika katika Tawi la Mwenge jijini Dar es Salaam leo Oktoba 18, 2023.
Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi Benki ya CRDB, Stephen Adili, akizungumza na wakati wa kutoa zawadi kwa mshindi wa nne Gari aina ya Toyota Crown wa Promosheni ya Benki ni Simbanking iliyofanyika katika Tawi la Mwenge jijini Dar es Salaam leo Oktoba 18, 2023.
Meneja wa Benki ya CRDB Tawi la Mwenge, akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi gari kwa mshindi wa Promosheni ya Benki ni Simbanking.
Mshindi wa Promosheni ya Benki ni Simbanking inayoendeshwa na Benki ya CRDB, Alex akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi zawadi ya gari aina ya Toyota Crown kwa mshindi huyo. Wageni mbalimbali wakiwa katika hafla hiyo.Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya CRDB wakiwa katikahafla hiyo.
No comments:
Post a Comment