HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

March 08, 2024

Wafanyakazi wa Benki ya CRDB walivyosherehekea Siku ya Wanawake

Meneja wa Benki ya CRDB Kanda ya Mashariki, Badru Idd, akizungumza na wakati wa hafla ya kusherehekea siku ya Wanawake Duniani iliyofanyika katika Tawi la Tegeta jijini Dar es Salaam.

Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi Benki ya CRDB, Steven Adili, akizungumza wakati wa hafla ya kusherehekea siku ya Wanawake Duniani
Meneja wa Benki ya CRDB Tawi la Tegeta, Emmanuel Chebunima, wakati wa hafla ya kumkabidhi zawadi ya pikipiki Wakala Bora, Salome Steven, iliyokwenda sambamba na sherehe za siku ya Wanawake Duniani.
Meneja Huduma kwa Wateja Tawi la Tegeta, Christina Osena, akizungumza wakati wa hafla ya kusherekea Siku ya Wanawake Duniani iliyofanyika katika tawi hilo.
Wakala wa Benki ya CRDB, Salome Steven akiwa na zawadi ya pikipiki baada ya kuwa Wakala Bora. 

No comments:

Post a Comment

Pages