HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

August 06, 2024

B𝗢𝗗𝗜 𝗬𝗔 𝗟𝗜𝗚𝗜 𝗬𝗔𝗝𝗔 𝗡𝗔 𝗠𝗣𝗔𝗡𝗚𝗢 𝗪𝗔 𝗞𝗨𝗪𝗔𝗜𝗡𝗨𝗔 𝗪𝗔𝗭𝗔𝗪𝗔 𝗡𝗕𝗖𝗣𝗟

Katika msimu mpya wa 2024/25 kila timu itakayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara wametakiwa kuwa na wachezaji wawili katika klabu kutokea timu za vijana katika kila mechi ya ligi.

“Hayo ni mabadilko ya kanuni zetu ambazo naamini ziko kwa ajili ya kujenga zaidi."

"Kila timu ya ligi katika mchezo wake inatakiwa kuwa na wachezaji wawili kutokea timu vijana, jukumu la kupata nafasi au kutopata linabaki kwa mwalimu wa timu husika, lakini kuwepo katika benchi ni muhimu."

Almas Kasongo Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi ( TPLB) katika Semina ya Waandishi wa Habari za Michezo inayofanyika katika Uwanja wa Benjamini Mkapa Jijini Dar es Salaam.


No comments:

Post a Comment

Pages