HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

August 09, 2024

Mkurugenzi TMA atoa elimu kwa wananchi Dodoma

Kaimu Mkurugenzi wa TMA katika picha akitoa elimu kwa wanafunzi waliotembelea Banda ya TMA kwenye maonesho ya wakulima NaneNane.

 

Na Mwandishi Wetu, Dodoma


KAIMU Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) Dk. Ladislaus Chang'a ameshiriki katika utoaji wa elimu ya sayansi ya hali ya hewa kwenye maonesho ya NaneNane 2024 katika viwanja vya Nzuguni, jijini Dodoma.

Dk. Chang'a aliungana na wataalam wengine wa TMA katika muendelezo wa utoaji huduma za hali ya hewa nchini.

Kaimu Mkurugenzi huyo alipata fursa ya kutembelea mabanda mbalimbali ya taasisi zilizo chini ya Wizara ya Uchukuzi.

Mamlaka inaendelea kuwakaribisha wananchi wote Karibuni kwenye banda la TMA, NaneNane Kitaifa.


 

No comments:

Post a Comment

Pages