HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

August 08, 2024

UTT AMIS yawataka wananchi kuchangamkia fursa za uwekezaji katika Maonesho ya Nanenane Zanzibar

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule, akisaini kitabu cha wageni alipotembelea Banda la Kampuni ya Uwekezaji ya UTT AMIS kwenye Maonesho ya Nanenane yanayoendelea katika viwanja vya Nzuguni jijini Dodoma.

Afisa Uendeshaji wa Kampuni ya UTT AMIS, Ridhiwan Mtanga akitoa maelezo kwa wananchi waliofika katika banda la kampuni hiyo wakati wa Maonyesho ya Nanenane yanayoendelea katika viwanja vya Dole, Kizimbani Zanzibar. Manoesho hayo yalianza Agosti 1, 2024 na kufikia kilele chake Agosti 14.


Baadhi ya maafisa wa UTT AMIS kutoka Kanda ya Kati wakiwa katika picha ya pamoja kwenye Maonesho ya Nanenane jijini Dodoma.

Afisa Masoko na Uhusiano wa Kampuni ya Uwekezaji ya UTT AMIS, Martha Mashiku (kushoto) akiwa na baadhi ya maafisa wa kampuni hiyo kwenye Maonesho ya Nanenane yanayoendelea katika viwanja vya Nzuguni jijini Dodoma.

Afisa wa UTTAMIS, Bi. Khalida Mbarak atioa maelezo ya kina kuhusiana na Mifuko ya Uwekezaji wa Pamoja.

Huduma zikiendelea kutolewa katika banda la UTT AMIS kwenye viwanja vya Nzuguni jijini Dodoma.


No comments:

Post a Comment

Pages