TOENI ELIMU YA URAIA KWA WAHUDUMU WA HOTELI NA ‘GESTI‘-MAJALIWA HABARI MSETO 20.1.17 0 WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaagiza viongozi wa Idara ya Uhamiaji kuandaa semina za mafunzo ya elimu ya uraia kwa wahudumu ya hoteli na... Read more »
SERIKALI IMETOA SH. BILIONI 2.4 KUBORESHA MRADI WA MAJI MAKAMBAKO-MAJALIWA HABARI MSETO 20.1.17 0 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua vibanda vya biashara vya Magegele vinavyomilikiwa na Halmashauri ya Mji wa Makambako akiwa ka... Read more »
RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA RAIS MSTAAFU BENJAMIN MAKAPA NA WAZIRI WA MAENDELEO WA DENMARK IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO HABARI MSETO 19.1.17 0 Rais John Magufuli akimkaribisha Rais mstaafu wa awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa Ikulu jijini Dar es salaam jana. (Picha na I... Read more »
REAL MADRID YACHAPWA MECHI YA PILI MFULULIZO HABARI MSETO 19.1.17 0 Mchezaji wa Celta Vigo, Facundo Roncaglia (kushoto), akichuana na Lucas Vazquez wa Real Madrid wakati wa mechi ya Kombe la Mfalme... Read more »
SERIKALI IMETENGA FEDHA KUKAMILISHA UJENZI TERMINAL III HABARI MSETO 19.1.17 0 Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania, Salim Msangi akimkaribisha Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano,... Read more »
WAZIRI MKUU AMALIZA MGOGORO WA MPAKA KILINDI NA KITETO HABARI MSETO 19.1.17 0 *Awaonya viongozi wa siasa wasiwavuruge wananchi WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameumaliza mgogoro wa mpaka wa ardhi baina ya vijiji vya ... Read more »
POLISI YAMSHIKILIA KIJANA WA MIAKA 17 KWA KOSA LA KUMBAKA MTOTO WA MIAKA 3 HABARI MSETO 19.1.17 0 NA MWANDISHI WETU JESHI la Polisi mkoa wa Iringa linamshikilia mkazi wa Mtwivila kata ya Mkimbizi manispaa ya Iringa, Emmanuel Mkiwa... Read more »
MARUFUKU KULIMA, KUINGIZA MIFUGO NDANI YA VYANZO VYA MAJI-MAJALIWA HABARI MSETO 19.1.17 0 WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wakuu wa mikoa ya Singida, Mbeya, Iringa na Dodoma wawasimamie wananchi wao na kuhakikisha hakuna sh... Read more »
SEMINA YA KUPEANA TAARIFA KUHUSU UTOAJI MIMBA USIO SALAMA NA HALI ILIVYO KATIKA SHERIA ZA NCHI, MIKATABA YA KIKANDA NA KIMATAIFA YAFANYIKA HABARI MSETO 19.1.17 0 Mkurugenzi Mtendaji wa Chama Cha wanasheria wanawake TAWLA Bi Tike Mwambipile akifungua semina ya kuhamasisha wadau wa Kutetea haki za w... Read more »
SIMBA MTIBWA HAKUNA MBABE HABARI MSETO 18.1.17 0 Mshambuliaji wa Mtibwa Sugar, Vincent Barnabas (kushoto), akichuana na beki wa Simba SC, Mohamed Hussein ‘Tshabalala’ wakati wa mchezo... Read more »
MADAKTARI BINGWA KITUO CHA MOYO CHA JKCI WAFANIKIWA KUPANDIKIZA MISHIPA YA DAMU KWENYE MOYO BILA KUTUMIA MASHINE YA MAPAFU NA MOYO HABARI MSETO 18.1.17 0 Madaktari Bingwa wa Upasuaji wa Kituo cha Moyo cha Jakaya Kikwete (JKCI), Dk. Evarist Nyawawa (kushoto) na Dk Hussein Hassanali wakimf... Read more »
CHEYO: SERIKALI NDIYO YENYE MAMLAKA YA KUTANGAZA NJAA HABARI MSETO 18.1.17 0 Na: Lilian lundo - MAELEZO Serikali ndiyo yenye mamlaka ya kutangaza ikiwa nchi inakabiliwa na janga la njaa na wala si taasisi, asasi... Read more »